
Leo mdogo wangu nime mkong'ota kwenzi kwa mara ya kwanza, alinikuta na panga nguo za safari akajakuniambia "AKIWA MKUBWA ANATAKA KUWA Catholic sister (Nun)"
Cha ajabu kuna watu nyumbani wanamsupport mimi nimewaambia hapo hamna mwenye uwito wa sister hapo km kweli wanataka kumsaidia shule ya msingi apelekwe shule za mchanganyiko au secondary apelekwe shule ya serikari atakayopangiwa ili ajekufahamu uwito wake wameshindwa kunielewa wananiambia mbona wewe....... nime waambia "mimi kitanda nilichalia nawajua kunguni wake so sihitaji mdongo wangu naye aje ang'atwe na kunguni" bado hawanielewi ila kakimaliza lasaba mimi nitapnga asipelekwe boarding.
Alikuja room akaniambia anataka awe catholic sister sijui ni nani aliye mlisha maneno hayo wakati kila siku ananiambiaga anataka kuwa daktari leo sijui alimepatwa nanini nimemwambia Mungu amekuumba kwenye uwito wa ndoa hanielewi ikabidi nimwambie km ni hivyo unataka kumtumikia Mungu subili ukiwa mkubwa uende hata dhehebu la Lutheran au Angricana uwe mama mchungaji mimi nitakutetea uende huko bado kananing’ang’aniza nikubaliane naye nikaona sasa huu usumbufu nikakakong’ota kwenzi nika mwambia Sali sala ya BABA YETU alikuwa anasali huku analia alipo fika “USITUTIE KATIKA VISHAWISHI” nikamwambia “unasalije usitutie ktk vishawishi wakati wewe ndio kishawishi mwenyewe” kwa kweli anisamehe tu bure akiwa mkubwa atanielewa tu sipendi waumini wateseke na kumkufuru Mungu kwasababu yake.
Leo mdogo wangu nime mkong'ota kwenzi kwa mara ya kwanza, alinikuta na panga nguo za safari akajakuniambia "AKIWA MKUBWA ANATAKA KUWA Catholic sister (Nun)"
Guys,me kesho ndo na sigh out from Shule Direct ndo mpaka MUNGU AKIPENDA.wish you nice moments........................
CHARITY THE STAR CONSTILATION CONSTILATOR
I,ll miss u young sis
enheee! Nimekubamba tena mwenyeweee sasa ulichokuwa unakataa nini nilijua tu hapa si bure kuna kitu.
Kuna post nyingine huwa najitahidi kupita kimya kimya ila dada yangu fudengu huwa ni mchokozi kwelikweli ananilazimishaga nicomment tu.
Aya jaman wale woteeeeee waliokuw online asubuh naomba wote online by now mrud chap km mlivyokuw kabla cjaanza reactions zangu coz sometyms i go act lyk John cena i used to be cool wen i am used to come through hilo ni ombi kutoka kw @Jessy.-nicole.jr.Tanteeeeeeeeeee!!!!!!!!!!
@Jessy.-nicole.jr-DJ Mizer 1845
Alafu nlkuw nmesahau km Chriss nae ni mzee wa baraza kumbe ndo maan anamuonea Coco anamtreat km amemuibia hv Chriss i dont know Y u treat her lyk a criminaaaaal!!!!!!!
Hahaaa! Jessica acha vituko vyako hakuna anaye onewa ila namkumbusha mjukumu yake ili yasije yakamkuta km mwenzake yalivyo mkuta Mzee wa Baraza anaheshima yake hapaswi kuchezewa hovyo hovyo maana yeye ndiye anayelinda na kusimamia maadili ya sehemu hisika
HI GUYS!HAPPY NEW YEAR'S EVE.TUMUOMBE MUNGU UZIMA AND I THANK GOD FOR SEEING YOU MY PRINCE CHARMING(DAVID SEN)
Jessica yaani naona kila post inanihitaji nimecomment mpka nahisi vidole kuuma sasa.
Discussion posted in Entertainment Discussions
Hahaaaaa! Watu wa google nadhani watakua na utani na akinadada maana mhmmmmm!
Esther naomba uniimbie huo wa Best Friend iliyoimbwa na Jason Mraz
Plzzzzzz! Plzzzz!Plzzz! my friends find this Song it is very important to all Shuledirectors :