Karibu Shule Direct, tumetengeneza ukurasa huu maalum kwa ajli yako upate fursa kufuatilia na kumsaidia mwanao kwa karibu. Kama mtoto wako bado hajajisajili Shule Direct, unaweza kumsajili sasa.
Vile vile, unaweza kuwasiliana na walimu mbali mbali waliomo kwenye jukwaa la Shule Direct au unaweza kuwasiliana na kushauriana na wazazi wengine kupata mbinu zaidi.
Unaweza kufungua ukurasa huu muda wowote na mahali popote upendapo kwa kutumia computer au simu yako ya mkononi.
Syllabus ya Form 1 - 4 kukupa muongozo wa nini mtoto anatarajia kujifunza wakati gani |
|
Ripoti za mtoto wako |
|
Muongozo wa ratiba ya kujifunzia nyumbani |
|
Mbinu na nyenzo mbali mbali kukusaidia ulezi wa mtoto wako |