Quiz Title: |
Njia za Uundaji Maneno |
Quiz Lesson: |
Lugha hukua na kubadilika kila wakati kulingana na maendeleo ya jamii. Kigezo kimojawapo cha kukua na kubadilika kwa lugha ni kuongezeka kwa msamiati. Ili msamiati uongezeke katika lugha sharti maneno mapya yaundwe. Njia za uundaji msamiati ni pamoja na kubadili mpangilio wa herufi, mfano lima - mali; kuambatanisha maneno, mfano punda+mlia - pundamlia; kutohoa maneno ya lugha nyingine. |