Quiz Title: |
Tungo |
Quiz Lesson: |
Tungo ni nomino inayotokana na kitenzi tunga chenye maana ya kushikamanisha vitu pamoja. Matokeo ya kutunga ni utungo au tungo. Hivyo tungo ni matokeo ya kuweka na kupanga pamoja vipashio sahili ili kujenga vipashio vikubwa zaidi. Au tungo ni kipashio cha kisarufi kilichoundwa kwa kuunganisha vipashio vidogovidogo vilivyo chini yake. Tungo ya chini kabisa ni neno na tungo ya juu ni sentensi. |