Quiz Title: |
Kubainisha Mofimu katika Maneno |
Quiz Lesson: |
Ubainishaji wa mofimu katika maneno umejikita katika kutambua mofimu mbalimbali ambazo huunda neno fulani au husika. Hivyo katika neno kuna mzizi wa neno na viambishi mbalimbali vinavyoambikwa kwenye mzizi ili kuunda neno. Yapo maneno yasiyohitaji viambishi na haya huitwa mofimu huru wakati yale yanayohitaji viambishi huitwa mofimu tegemezi. |