Quiz Title: |
Dhana ya Fasihi |
Quiz Lesson: |
Fasihi ni sanaa itumiayo lugha kufikisha ujumbe kwa jamii fulani. Ujumbe unaowasilishwa na fasihi waweza kuhusu: Historia ya jamii, lugha yao, vyakula wanavyokula, mavazi yao n.k. Fasihi hutumia ufundi wa lugha katika kufikisha ujumbe. Ufundi huu huitwa sanaa. Fasihi ni tawi la sanaa. Matawi mengine ya sanaa ni muziki, ususi, ufumaji, uhunzi, uchoraji, ufinyanzi na sanaa za maonyesho. |