Usipoteze muda wako tena! Kwa kujiunga na Makini Quiz unapata fursa ya kujiandaa vyema na mitihani kwa kufanya maswali mbalimbali kutoka katika masomo tisa ya sekondari Tanzania mahali popote pale ulipo kwa kutumia simu yako ya mkononi au kompyuta.
Zaidi ya maswali 15,000 ya Sekondari uweze kujipima |
|
Unapata jawabu papo hapo |
|
Unapata ripoti ya mazoezi ulioyafanya |
|
Maswali yameandaliwa kufuata mtaala wa elimu ya Tanzania |
|
Kusanya pointi na ushinde zawadi kem kem |