Maishani kuna vitu viwili uishi ili uzomewe alafu ufe usifiwe so, usiache kujikubali ckuzote wew ni wajuu unaweza kushinda yahitaji uvumilivu kushindwa yahitaji uvivu chaguo ni lako ulale ile utimize ndoto kitandan ama uamke ili ukazitafute ndoto zako siku zote penda elimu ila usisahau akili yako kuipenda zaidi maana hiyo ndiyo iligundua elimu
great