Kuna muonekano mpya wa darasa langu! KUWA WA KWANZA KUINGIA
 • Kiswahili Discussions

  Start your own discussion and win points

  Join, Discuss, Learn, Share idea with others

  Create Discussion

  Pick a Class
  Posted 3 years ago in Form 2

  Matumizi Ya Lugha Katika Miktadha Mbalimbali

  1. bainisha mofimu katika maneno yafuatayo 1:tumbiri 2:msomaji

    3       1

  Comments  

  Petro Joseph   Posted on 1 year ago

  M so ma ji

  Posted 3 years ago in Form 1

  Aina Za Maneno

  nini maana ya sheria mama

    3       2

  Comments  

  Mary Onyali   Posted on 4 months ago

  nice

  Rasuli Njoka   Posted on 5 months ago

  No sheria zilizo wekwa kwa nia ya kuleta tetezi kwa watu husika , ila sina uhakika san......

  Posted 3 years ago in Form 2

  Uundaji Wa Maneno

  Kazi tatu za mnyambuliko 

    2       5

  Comments  

  TUMAINI KAWICHE   Posted on 1 year ago

  ok unaweza kuonesha upachikaji wa wa maneno unavoweza kufanyika

  Brown Brown   Posted on 2 years ago

  Lakini umewahi kusoma Atlas?

  Brown Brown   Posted on 2 years ago

  Kuongeza misamiati ya maneno

  Coaster Melkior   Posted on 2 years ago

  Kuongeza maneno katka mzizi wa neno ili kupata neno sahii

  Posted 3 years ago in Form 3

  Mjengo Wa Tungo

  taja vipashio vya kiarifu

    2       2

  Comments  

  Sharifu Marussu   Posted on 2 years ago

  Chagizo

  Beatrice Laizer   Posted on 3 years ago

  Vitenzi(prediketa)
  Shamirisho(nomino na viwakilishi)

  Vielezi

  Posted 3 years ago in Form 1

  Aina Za Maneno

  hi! guys naomba mnisaidie kutunga sentensi zenye muundo wa:H+Ts+Ts+Ts+T

    1       4

  Comments  

  Inna Ally   Posted on 1 year ago

  Loh! Alikufa akiwa anaumwa

  Fahad Kassanga   Posted on 2 years ago

  Loh!alipendwa alikua

  Brinley Pally   Posted on 3 years ago

  ebo!alikuwa anataka kunisaidia kupika

  Beatrice Laizer   Posted on 3 years ago

  Ala!alikuwa akiwa anasoma?

  Posted 3 years ago in Form 4

  Ukuaji Na Ueneaji Wa Kiswahili Enzi Ya Waingereza Na Baada Ya Uhuru

  Taja na fafanua kazi za TAKILUKI

    1       0

  Comments  

  Posted 3 years ago in Form 1

  Aina Za Maneno

  nini maana ya tahajia  na   msamiati

    0       1

  Comments  

  Zainab Ghasia   Posted on 3 years ago

  msamiati nilile neno lenye kubeba maana katika lugha .

  Posted 3 years ago in Form 4

  Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Andishi

  taja sifa za fasihi andishi

    1       4

  Comments  

  Coaster Melkior   Posted on 2 years ago

  Fasii andishi ni Mali ya wachache yani wanao jua kusoma Na kuandika 2,ukaa mda mrefu bila kupotea

  Anicetha George   Posted on 3 years ago

  ni mali ya mwandishi,si ya jamii nzima

   

  huhifadhiwa kwa njia ya maandishi

  Beatrice Laizer   Posted on 3 years ago

  Fasihi andishi huwa
  Mali ya mwandishi
  Haiwezi kupokea marekebisho ya papo kwa hapo
  Ina tanzu tatu tu
  Haina mawasiliano Kati ya fanani na hadhira
  Haina Hali ya utendaji

  Beatrice Laizer   Posted on 3 years ago

  Ni aina ya fasihi inayo wasilishwa kwa njia ya maandishi

  Posted 3 years ago in Form 1

  Mawasiliano

  Eti wadau wanyama wanalugha

    2       13

  Comments  

  Mustafa Kamna   Posted on 2 months ago

  Ndio

  MAMBA SECONDARY   Posted on 7 months ago

  stephano filibert lyankuba
  ndio. kwakuwa hata wao pia wanaelewana. kwakuwa moja ya kazi za lugha nikurahisisha mawasiliano.

  Rynne 04   Posted on 2 years ago

  milio

  Ibra_juz7   Posted on 2 years ago

  ndio kwasababu huelewana wenyewe kwa wenyewe

  Posted 3 years ago in Form 57122

  Kusikiliza na Kuzungumza

  T

    0       0

  Comments  

  Posted 3 years ago in Form 57122

  Kusikiliza na Kuzungumza

  T

    0       0

  Comments  

  Posted 3 years ago in Form 1

  Mawasiliano

  Nini maana  ya  maneno  Kujikomba,Kupiga makelele na  kumtunza.

    2       3

  Comments  

  Coaster Melkior   Posted on 2 years ago

  Sijaelewa swali lako uliza vzur

  Coleen Soor   Posted on 3 years ago

  sijaelewa swali lako

  Cindy Modimo   Posted on 3 years ago

  naomba ueleze vizuri

  Posted 3 years ago in Form 2

  Uundaji Wa Maneno

  Nini maana ya vipashio vidogo?

    1       0

  Comments  

  Posted 3 years ago in Form 3

  Ngeli Za Nomino

  umuhimu wa kuainisha ngeli za nomino

    1       1

  Comments  

  Beatrice Laizer   Posted on 3 years ago

  Kudumisha upatanisho wa kisarufi

  Posted 3 years ago in Form 3

  Mjengo Wa Tungo

  jaman nini dhima za tungo

    1       1

  Comments  

  Faith Wanjama   Posted on 3 years ago

  Dhima pia n umuhimu

  Posted 3 years ago in Form 1

  Mawasiliano

  Sarufi  ina  umuhimu  gani  katika lugha?

    1       2

  Comments  

  Renatus Philimon   Posted on 3 years ago

  sawa sawa beat-rice

  Beatrice Laizer   Posted on 3 years ago

  Huwezesha kutunga tungo jingi sahihi

  Posted 3 years ago in Form 2

  Uundaji Wa Maneno

  Naomba kusaidiwa maana ya nahau hizi:Funguka choo,

   

  Ambua nyayo,

   

  Piga salamu

   

  Alika vita

   

    2       2

  Comments  

  Alvin Shirima Alvin Shirima   Posted on 3 years ago

  Aya

  Fankie Peace   Posted on 3 years ago

  ok

  Posted 3 years ago in Form 1

  Mawasiliano

  Taja na elezea kwa mifano aina nne za sarufi

    1       2

  Comments  

  Beatrice Laizer   Posted on 3 years ago

  Sarufi matamshi
  Sarufi maana
  Sarufi maumbo
  Sarufi muundo

  Fankie Peace   Posted on 3 years ago

  ok

  Posted 3 years ago in Form 2

  Matumizi Ya Lugha Katika Miktadha Mbalimbali

  Taja na uelezee athari 5 katika lafudhi na matamshi

    4       1

  Comments  

  Husna Hassan   Posted on 3 years ago

  Athari ya lugha mama

  Posted 3 years ago in Form 2

  Uundaji Wa Maneno

  sifa 5 za myumbuliko wa maneno

    6       1

  Comments  

  Ibra_juz7   Posted on 2 years ago

  hutanua maana ya neno
  hujenga mzizi wa shina
  hugeuza aina ya neno na kuwa aina nyingine
  huongeza viambishi baada ya mzizi
  huzalisha maneno mapya

  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Subject and Get Discussing

  Cancel

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here